DARAJA
Daraja ni kitu kinachotusaidia kuvuka palipo na mfereji au shimo la maji ili kuenda upande mwingine, Lakini katika watu wanaolitumia wapo wengine wanataka kulitumia kwa matumizi tofauti na kazi yake, ikiwemo kuliachia tope baada ya kulitumia ili watu wengine waje na liwaangushe, vile vile watu hao malengo na mtazamo wao ni kutaka kuling'oa hilo daraja kwa faida yao wenyewe, lakini pia kuna watu wengine wanaotaka daraja hilo kulikatia kuni, Wanashindwa kujua kuwa kuna watu waliangaika kuliteneza hilo daraja, Kuna waliangaika kutafuta miti na kukata mbao ili daraja lionekane kuwa daraja. Binadamu washindwa kujua umuhimu wa mtu wakati yupo hai na kujifanya kumpenda wakati ameshatoweka. By Pawn Yakyeelwa (P K W) from somewhere kupori in DRC 🇨🇩