Mungu hajakuacha mwenye haki
Je hivi unasomaga Biblia takatifu ?
Angalia;
Zaburi 34:19
Mateso ya mwenye haki ni mengi,
Lakini BWANA humponya nayo yote.
Zaburi 37:16
Kidogo alicho nacho mwenye haki ni bora
Kuliko wingi wa mali wa wasio haki wengi.
Pia malizia hapa;
Mithali 24:15-16
[15]Ewe mtu mbaya, usiyavizie makao yake mwenye haki;
Wala usipaharibu mahali pake pa kupumzika;
[16]Kwa maana mwenye haki huanguka mara saba akaondoka tena;
Bali wasio haki hukwazwa na mabaya.
🙏🙏🙏
Pawn Yakyeelwa @
Comments
Post a Comment