Tatizo la Kujilinganisha

Watu wengi wanakuwa na tatizo hili la kujilinganisha na waliotangulia wakati wenyew ni wageni husindwa kuelewa kwamba yule alie tangua ametangulia na vyote.
Ikiwa mtu ni mgeni sehemu fulani ni lazima ataona tofauti tofauti kati yake na aliowakuta mfano; mitindo ya mavazi, matumizi ya vitu, kuzumbaa (mzembe), aibu fulani hiv kwa mgeni, n.k...

Mtu anapoona hiv pia anatamani anaanza kuiga mitindo ya mavazi kwa aliowakuta hap... ikiwa wew ni mgeni huwezi kuwa sawa na uliowakuta kwa hivo angalia hao lini walifika hapo au wana mda gani hapo mbele ya wew hujajilinganisha kisha angalia mda wako wew hapo utaona tofauti kati yenu.
Wacha kuiga jilinganishe na ulio nao sawa sio waliotangulia. 
Ahsante kwa uelewa by Pawn Yakyeelwa someone from somewhere kupori in DRC 🇨🇩

Comments

Popular posts from this blog

God always do the rest

Kizuri hakiombi haraka.