Mafanyikio ni mtu peke
Mti ulioota kwenye ukami wa maji ni mgumu kuliko hule ulioota pembezon mwa bahari, maan mti hule ulipo kwenye ukame mizizi yake uenda mbali kutafuta maji ila huu mwingine mda wote upo sawa.
Pale unaposhindwa ndipo unapojifunza nin kizur nin sio kizur au ni sahihi lakin pia kumbuka mtiani wowote hule ukiufanya kwa mara ya kwanza ambao somo hilo ulikwa hujawahi kuliona huwezi kuupata kwa asilimia Mia (100%) haiwezekani, unaweza kukosa baadhi ya maswali au kukosa mtiani mzima moja kwa moja.
Kukosa kwako ni kijifunza kwako lile uliokuwa hulijui au ulikuwa umeshalisahau.
Jifunze kupitia makosa/ pale unapo shindwa alafu baadae jaribu tena.
Think about 2022 👨🎓👨🎓👨🎓👨🎓
Comments
Post a Comment